[base16] # _

Recent Posts

Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu ang'atuliwa

published on
- Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu ameng'atuliwa na Bunge la Kaunti - MCAs wamechukua hatua hiyo kufuatia kesi kwamba Waititu alivunja sheria ya ununuzi kutumia pesa za umma na kutumia mamlaka yake visivyo - Wawakilishi Wadi (MCAs) 63 walipiga kura na kuunga mkono kunga'atuliwa kwa Waititu, mmoja alipiga kura kumtetea na 28 walikosa kufika bungeni - Msuada wa kumng'atua uliwasilishwa katika bunge hilo na Mwakilishi Wadi Solomon Kinuthia wa Ndenderu Read More...

Categories

Blog (1692)