blog

Singer almost falls during Super Bowl performance [WATCH]

published on
The singer live debuted her brand new single 'Formation' at the show, taking center stage in front of a bevy of backup dancers. The routine was going along flawlessly, as per usual, when Beyoncé did a backwards hop and lost her footing for the briefest of moments. In true Queen Bey form, she kept right on dancing – and somehow managed to make her misstep look like it was all part of the plan. Read More...

Urembo wangu huwafukuza wanaume badala ya kuwavutia, adai mwanadada

published on
- Mwanamke mmoja mrembo aliyetambuliwa kama Hauwa anajutia sana kubarikiwa na urembo - Hauwa anasema badala ya urembo wake kuwavutia wanaume, huwa inawafukuza - Hauwa alielezea kuwa wanaume wengi wanahofia kumchumbia Mwanamke mmoja mrembo yuko katika hali ya wasiwasi huku akishindwa kutambua chanzo cha kuwafukuza wanaume badala ya kuwavutia. Hauwa alisema hushindwa mbinu ya kumuweka mwanamume kwani wanaume hutatizwa na urembo wake. Habari Nyingine: Magazeti ya Alhamisi, Februari 13: Ruto na Gideon wakabithiwa jukwaa la kukabiliana kisiasa Read More...