-Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Size 8 amewahimiza akina mama kuwaadhibu watoto wao wanapokosa kama njia moja ya malezi mema
-Size 8 amedai kuwa bibilia inamuhimiza mzazi kumuadhibu mwanawe vilivyo
Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Size 8 amewahimiza akina mama kuwaadhibu watoto wao wanapokosa kulingana na maagizo ya Bibilia.
Habari Nyingine: Haya ndiyo mapato ya treni za SGR, Madaraka Express, mwezi Jun

Habari Nyingine: ‘Msosi’ aliokula Raila na ukamletea maradhi ya tumboni wabainika
Mwanamuziki huyo wa nyimbo za injili alikiri kuwa yeye humuadhibu vilivyo mwanawe,Ladasha anapokosa.
" Waadhibu, Bibilia inasema kuwa mtoto mtukutu lazima afunzwe adabu. Kibinafsi, mimi humuadhibu mwanangu anapokisea kama njia moja ya kumlea vizuri," Size 8 alisema.

Size 8 ni mama wa mtoto mmoja aliyempata na msanii mwenzake DJ Mo.
Tazama video;
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYN0fZFmpLCZnpa6tsbIpKBmr5Fiu7q1zJumZrKRYravtsiloGaZlaGyu7HAZqymrZieurZ51ppksJmqlseqecqumJ2gmZfCbsPAraatp12srm%2B006aj